EF Technology

EF Technology
EF Technology

Friday, September 25, 2009

Miss International


Jamillah Nyangasa na wenzake

Arnold Chiwalala


Arnold Chiwalala anayechukua Shahada ya Uzamivu katika Chuo Kikuu Cha Muziki Cha Sibelius (Sibelius Academy) ametunukiwa Tuzo ya Dhahabu ya muziki wa Ala ya Kantele 2008.

Kinasha


Carola Kinasha ndani ya Sauti za Busara Zanzibar

Monday, September 14, 2009

Mheshimiwa Al-Sheymar

 
Mbunge wa Viti Maalum Mh. Al-Sheymar

Wednesday, September 2, 2009

Ndani ya Magomeni Mapipa

 
Mliokuwa Majuu mnakumbuka lakini?

Tuesday, September 1, 2009

Wahapahapa Band Jukwaani


 
Mkongwe Teddy Mbarak akiwa jukwaani na Wahapahapa Band. Kwa wanaoikumbuka bendi ya Tatunane hili jina si geni kwao. Source: Issa Michuzi