EF Technology

EF Technology
EF Technology

Tuesday, May 17, 2011

Alexia Awa Vodacom Miss Dar City Center

Vodacom Miss Dar City Center Alexia William akipunga mkono mara baada ya kutawazwa kuwa mlimbwende wa kanda hiyo. Wengine mshindi wa pili Salha Israel, mshindi wa tatu Jenifer Kalokola, mshindi wa nne Maryvine Kenzia na kulia mshindi wa tano Lilian Paulo.

Wanne Star Ndani Ya Miaka 10 Ya SBC Tanzania Ltd

Wanne Star Wakifanya Vitu Vyao