EF Technology

EF Technology
EF Technology

Wednesday, June 15, 2011

Miss Africa Crown Scandinavia 2010

Miss Africa Crown Scandinavia 2010 Bi Michelle Jeng akiwapungia mkono wananchi walikwenda kumlaki mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana jini Dar es salaam . Bi. Michelle ni mtanzania anayeishi Sweden ambaye alishinda nafasi hiyo na atakuwa nchini kwa ajili ya shughuli za kijamii kama vile kuwatembelea walemavu wa ngozi , waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto na watoto yatima na kuwapa misaada.


Mh Balozi wa Tanzania UK ahudhuria "TROOPING THE COLOUR EVENT"

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter A. Kallaghe na familia yake walipata mwaliko maalum katika ofisi ya waziri mkuu nchini uingereza mheshimiwa David Cameroon 10 Downing street, London siku ya Jumamosi tarehe 11/6/2011 kuhudhuria "Trooping The Colour"

Thursday, June 2, 2011

Flaviana Matata Azindua "FLAVIANA MATATA FOUNDATION"

Flaviana Matata azindua Foundation ambayo itakuwa ikijihusisha na uwezeshaji wa wanawake na watoto wasioweza kupata huduma mbali mbali za muhimu katika maisha yao.
 Mwanvita Makamba ambaye ni mmoja wa walezi wa Foundation hii akitoa neno la ufunguzi wakati wa uzinduzi wa Foundation hii uliofanyika ndani ya Hotel ya Kempisky!!

IBM Continues Expansion with New Office in Tanzania

David Sawe, IBM CGM Tanzania (left) and John Ncube, CIO of NMB