EF Technology

EF Technology
EF Technology

Tuesday, September 28, 2010

Thursday, September 16, 2010

MAREHEMU JULIUS MSEKWA



FAMILIA YA PIUS MSEKWA INA HUZUNI KUTANGAZA KIFO CHA MPENDWA WAO JULIUS MSEKWA, KILICHOTOKEA PARALIMNI, CYPRUS, JUMAMOSI YA TAREHE 11/09/2010.

JULIUS ALIKUWA AKIISHI NA KUFANYA KAZI NCHINI UINGEREZA TANGU MWAKA 1996, ALIKUWA AMEKWENDA CYPRUS KWA MUDA MFUPI , AMBAPO NDIKO MAUTI YALIPOMFIKA.

TARATIBU ZA KUREJESHA MWILI DAR ES SALAAM KWA AJILI YA MAZISHI ZIMEKAMILIKA NA MWILI WA MAREHEMU UNATARAJIWA KUWASILI JUMAPILI 19/09/2010, ALFAJIRI KWA NDEGE YA EGYPT AIR.

MAZISHI YATAFANYIKA JUMATATU 20/09/2010 KATIKA MAKABURI YA KINONDONI, DAR ES SALAAM.

MSIBA UPO NYUMBANI KWA NDUGU PIUS MSEKWA, NO. 13 BONGOYO RD. OYSTERBAY. KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU, SALA ZETU WOTE NI KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.

Source: Issa Michuzi Blog

Monday, September 13, 2010

Vodacom Miss Tanzania 2010

Vodacom Miss Tanzania 2010 Geneviv Mpangala (katikati) akiwa na washindi wenzake msindi wa pili, Glory Mwanga (kushoto) na Consolata Lukosi, baada ya kutangazwa washindi katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

Friday, September 10, 2010

Leo ni Kumbukumbu ya CATHERINE NELLIE MHUTO

THE LATE MS. CATHERINE NELLIE MHUTO
13 JANUARY 1944 – 10 SEPTEMBER 1994




Dear Mom, it has been 16 years now since you left us. I know God has kept you in good place but your spirit still with us. You are deeply loved and missed.

On behalf of Mhuto's family we would like to inform family and friends and all of those who knew Ms. Catherine to come to celebrate her life through prayer. The mass will be held on Thursday, September 16th, 2010 at 4:00 P.M at St. Andrew Anglican Church, Magomeni - Dar es Salaam.

 
Standing L to R: Gerry, Charles and Teddy 
Sitting L to R: Alice, Frank and Priscilla

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE

Friday, September 3, 2010

Mao Rwangisa na Sofia Nkurlu

Mao Rwangisa (kwa wale wa enzi za Azania - Jangwani - Tambaza - Zanaki mtamkumbuka) na Sofia Nkurlu

Wednesday, September 1, 2010

Meet Designers

From Left: Kemi Kalikawe, Ailinda Sawe and Manju Msitta