EF Technology

EF Technology
EF Technology

Friday, July 29, 2016

TANZIA: DJ Rachy Kutty Afariki


 Tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu, Raphael Chambo, kilichotokea leo alfajiri katika hospital ya Lugalo. Msiba uko nyumbani kwa dada wa marehemu huko Sinza karibu na Vatican.

Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. 




Friday, July 8, 2016

Zakia George Mhuto Apata Diploma ya Travelling & Tourism

Zakia George Mhuto apata diploma ya Travelling & Tourism huko Highbury College Portsmouth, UK


Zakia akiwa na mwanae, Myluck


Zakia na rafiki yake, Megan.