EF Technology

EF Technology
EF Technology

Thursday, May 10, 2012

JAJI MUNUO ATEULIWA KUWA RAIS WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE DUNIANI

MWENYEKITI wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA), Jaji Eusebia Munuo ameteuliwa kuwa Rais wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani kwa miaka miwili.