EF Technology

EF Technology
EF Technology

Wednesday, December 22, 2010

Marehemu Abuu Semhando

Marehemu Abuu Semhando 'Baba Diana' (kulia),Kanku Kelly na King Kiki walipohudhuria mazishi ya Dkt Remmy Ongala.

Monday, December 20, 2010

Kumbukumbu - Mama Shauri

MAREHEMU AGNES KATHLEEN SHAURI

Miaka mitatu imepita tangu ututoke Dec 19 2007. Pengo uliloliacha bado halijazibwa na halitaweza kuzibika kamwe.

Unakumbukwa sana na mume wako Bishop Shauri, watoto wako wote, wakwe zako na wajukuu zako na ndugu zako wote.

Katika uhai wako uliwagusa watu wengi sana kwa wema na ukarimu wako, bado wanakuongelea na kukukumbuka sana.

Mungu azidi kukupumzisha hadi tutakapokutana tena.
Bwana alitoa na bwana alitwaa jina lake lihimidiwe.

-AMIN

Familia ya Shauri

Thursday, December 16, 2010

Mazishi ya Dr. Remmy Ongala

Anne McAra, (Mke wa Teddy Mbarak) kulia, akiwa mazishini.

Friday, December 10, 2010

Rais Jakaya Kikwete na Msondo Ngoma

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wanamuziki wa Bendi kongwe nchini Tanzania Msondo Ngoma

Meet Bridget from Montgomery Village, MD



Bridget Working for GirlUp as a Teen Advisor.

Friday, December 3, 2010

MANJU MSITA Kutuwakilisha Msumbiji

Mbunifu nguli Manju Msita akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar. Shoto ni Meneja Masoko wa Swahili Fashion Week, Hamisi Omary. By Issa Michuzi.

Siku hii ya Walemavu huko Mkuranga

Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, wanawake na watoto, Mhe.Ummy Ali Mwalimu,Mhe.Al-Shymaar wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe. Henry Orauya( Kulia) pamoja na Viongozi Wakuu wa Wilaya hiyo, mara baada ya kuwasili Wilayani hapo.