EF Technology

EF Technology
EF Technology

Monday, December 20, 2010

Kumbukumbu - Mama Shauri

MAREHEMU AGNES KATHLEEN SHAURI

Miaka mitatu imepita tangu ututoke Dec 19 2007. Pengo uliloliacha bado halijazibwa na halitaweza kuzibika kamwe.

Unakumbukwa sana na mume wako Bishop Shauri, watoto wako wote, wakwe zako na wajukuu zako na ndugu zako wote.

Katika uhai wako uliwagusa watu wengi sana kwa wema na ukarimu wako, bado wanakuongelea na kukukumbuka sana.

Mungu azidi kukupumzisha hadi tutakapokutana tena.
Bwana alitoa na bwana alitwaa jina lake lihimidiwe.

-AMIN

Familia ya Shauri

No comments:

Post a Comment