EF Technology

EF Technology
EF Technology

Wednesday, June 15, 2011

Miss Africa Crown Scandinavia 2010

Miss Africa Crown Scandinavia 2010 Bi Michelle Jeng akiwapungia mkono wananchi walikwenda kumlaki mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana jini Dar es salaam . Bi. Michelle ni mtanzania anayeishi Sweden ambaye alishinda nafasi hiyo na atakuwa nchini kwa ajili ya shughuli za kijamii kama vile kuwatembelea walemavu wa ngozi , waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto na watoto yatima na kuwapa misaada.


No comments:

Post a Comment